Masaibu ya Ukwe
by Kakuu Kimando · ISBN 9798194852765
Mona anapoolewa na Mwanzo, mapenzi yao yanakabiliwa na chuki na dhuluma kutoka kwa mama na dada za mumewe. Akiwa anajitahidi kulea watoto na kuendelea na masomo, anabebeshwa kazi nzito, kudhalilishwa na kusingiziwa uchawi. Mwanzo naye anavutwa kati ya kuilinda ndoa yake na kutimiza matarajio mazito ya familia yake. Katika harakati zao za kujenga maisha yenye amani, simulizi hii inaangazia mgongano wa mila na haki za mwanamke, mizigo ya ukwe, na nafasi ya uvumilivu, imani na msamaha katika kukabili uadui wa kifamilia.
Choose format
KES 700
View cart